Siku ya leo nitazungumzia kuhusu umuhimu wa kuvaa nguo ndefu hasa wakati wa kwenda kwenye mtoko wa halfa iwe usiku au mchana,kwani wa kinadada wengi wameonekana kuvaa nguo fupi wanapotoka jambo ambalo limejenga umaarufu kuliko nguo ndefu.
Hata hivyo wengi wamekuwa wakipenda sana ingawa wengi wao wamesahau kuwa hata nguo ndefu ina umuhimu wakr hasa kataka mambo ya halfa za usiku kwani mara nyingi huwa zinawafanya, wavaaji kuonekana katika hali fulani ya urembo ukiachilia mbali kuwa vazi lefu pia huleta heshaima kutokana na Mla na desturi zetu Watanzania.
Hayo ni baadhi ya nguo ndefu kwaajili ya mtoko
Mpezi msomaji hayo ni baadhi tu ya mavazi yanayo onesha mvuto,na kuwa nadhifu mda wote na unaweza kwenda sehemu yoyote kuliko yule alie vaa nguo fupi anakuwa hayupo huru ,ila yule alie vaa nguo ndefu anakuwa huru mda woto.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni